RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 17

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa sasa ambapo leo Desemba 17 kuna mechi ambazo zitachezwa. Geita Gold itashuka Uwanja wa Nyankumbu kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting. Mbeya Kwanza itakuwa na kibarua Uwanja wa Sokoine dhidi ya Namungo FC. Dodoma Jiji v Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.

Read More

MASTAA YANGA WAPIGWA MKWARA NA MTUNISSIA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba hakuna mchezaji mkubwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa kuwa Yanga ni kubwa kuliko yoyote. Kocha huyo raia wa Tunissia ameongeza kuwa kuhusu kuanza kikosi cha kwanza kwa wachezaji wake itategemea na namna hali itakavyokuwa kutokana na mchezo husika na haina maana kwamba kufunga mabao ni…

Read More

WAZIRI NDUMBARO ASHINDA MASHINDANO YA GOFU

WAZIRI wa Maliasili, Dkt Damasi Ndumbaro ameibuka mshindi wa mashindano ya Gofu ya Wabunge ya Afrika Mashariki kwa ushindi wa jumla akiwakilisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri Ndumbaro amepata jumla ya pointi 73 katika ushindi wa jumla zilizofanya aweze kuibuka kidedea. Ndumbaro amesema kuwa ushindani ulikuwa mkubwa kwa kuwa kila mshiriki alikuwa…

Read More

VIDEO:BEKI YANGA:HAKUNA KAMA OKWI

BEKI wa zamani wa kikosi cha Yanga, Nadir Haroub, ‘Canavaro’ ameweka wazi kuwa kwa zama ambazo alikuwa akicheza yeye mpira wa ushindani bado hajaona ambaye ameweza kumfikia nyota wa zamani wa Simba Emanuel Okwi. Canavaro amebainisha kwamba hawezi kusema maneno mengi zaidi ya kusema kwamba hakuna kama Okwi.

Read More

MSHINDI WA SPORTPESA KUTOKA MOROGORO ASHINDA MKWANJA MREFU

MKAZI wa Morogoro amefanikiwa kuibuka mshindi wa mkwanja mrefu baada ya kufanikiwa kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kweye Jacpot ya wiki iliyopita, Mshindi wa SportPesa Jackpot bonus pichani ni Kassim Said Liuzilo mwenye miaka 52, ambaye ni kutoka Kilombero, Morogoro. Liuzilo ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi 10,534,628 baada ya kubashiri kwa…

Read More

IHEFU WATAJA WALIPOELEKEZA NGUVU ZAO

ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa alikuwa anawalinda wachezaji wake ili wasiweze kuumia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. jana Desemba 15. Katika mchezo huo Ihefu ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Yanga nawatupiaji walikuwa ni Heritier Makambo ambaye alifunga mabao matatu na Khalid…

Read More

MTIBWA SUGAR HAWAPOI,WAPIGA MTU KIFURUSHI CHA WIKI

BOBAN Zirintusa, mshambuliaji wa Mtibwa Sugar ni miongoni mwa mastaa waliosepa na mpira baada ya kufunga hat trick katika mchezo wa Kombe la Shirikisho. Aliweza kufanya hivyo Desemba 15 wakati timu ya Mtibwa Sugar ilipotoa dozi ya kifurushi cha wiki kwa Tunduma United ambapo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mtibwa Sugar 7-1 Tunduma United….

Read More

HUYU HAPA ATAJWA KUWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi wapo kwenye hesabu za kumsaka winga wa kazi ili awe ndani ya kikosi hicho. Yanga inahitaji kufanya maboresho kidogo kwenye eneo la winga ili kuongeza makali kwenye kikosi hicho. Jina na Chico Ushindi winga mwenye miaka 25 anayekipiga ndani ya TP Mazembe anatajwa kuwa kwenye…

Read More

FT: YANGA 4-0 IHEFU FC

USHINDI wa mabao 4-0 dhidi ya Ihefu FC Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu unawafanya waweze kutinga raundi ya nne. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilipachika mabao 3-0 kipindi cha kwanza na kuwafanya waende vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa vifua mbele. Watupiaji wa Yanga ni Heritier Makambo…

Read More