RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 24

BAADA ya mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kuahirishwa kutokana na asilimia kubwa ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua na homa leo wanatarajiwa kuwa kazini. Desemba 24, Simba inatarajiwa kukaribishwa na Wanakino Boys, Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, Tabora. Itakuwa ni KMC v Simba leo. Pia Coastal Union iliyotoka kushinda bao 1-0 dhidi ya…

Read More

YANGA:WACHEZAJI WAMEKUBALIANA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wote wamekubaliana kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano ili kufika mbali kimataifa. Yanga leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Club Africains mchezo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.  Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wachezaji wote wana morali kubwa kuelekea mechi…

Read More

PAPE AWAOMBA MASHABIKI WAZIDI KUMPIGIA KURA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho amewaomba mashabiki na kila mmoja kuendelea na zoezi la kumpigia kura kwenye kipengele ambacho amechaguliwa kuwania tuzo ya bao bora la mwaka la CAF. Nyota huyo alifunga bao kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambapo alipachika bao hilo kwa mtindo wa tik taka, ilikuwa ni Uwanja wa Mkapa. Kwa sasa…

Read More

DOMO LA FISTON LINAONYESHA ANASTAHILI KUWA SHABIKI

ANAANDIKA Saleh Jembe:- WAKATI Simba inapoteza 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco, Fiston Abdullazak alikuwa jukwaani kabisa. Wakati Simba ikishinda 1-0 pale kwa Mkapa dhidi ya Berkane, alipata bahati angalau ya kuwa benchi. Ajabu sana mchezaji huyu ambaye aliachwa na Yanga kutokana na kiwango duni alisajiliwa Berkane (Amini suala la bahati lipo), jiulize vipi timu…

Read More

YANGA YAINGIA ANGA ZA NYOTA STARS

AKICHEZA mechi mbili akiwa na kikosi cha Taifa Stars kwa mara ya kwanza, straika George Mpole, tayari ameivutia Klabu ya Yanga inayotaka kumsajili kuelekea msimu ujao wa 2022/23. Mpole mwenye mabao nane kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu akiitumikia Geita Gold, hivi karibuni alikuwa sehemu ya kikosi cha Taifa Stars kilichocheza mechi mbili za kirafiki…

Read More

AFCON 2023:TANZANIA 0-0 UGANDA

UWAJA wa Mkapa mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 Ivory Coast ngoma bado ni nzito kwa pande zote. Ubao unasoma Tanzania 0-0 Uganda ambapo kila timu inafanya mashambulizi kwa wapinzani kupata ushindi. Tanzania inamtumia Simon Msuva, Mbwana Samatta pamoja na Sopu kwenye upande wa ushambuliaji huku Uganda wakiwa na Emmanuel Okwi na Khalid Lwaliwa ambao…

Read More

NABI KUWASHANGAZA MARUMO, HAWA HAPA KUKOSEKANA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amepanga kuwashangaza wapinzani wake Marumo Gallants kutokana na mpango kazi atakaotumia kwenye mchezo huo kuwa tofauti na ule wa awali. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 2-0 Gallants na mabao yakifungwa na Aziz KI na Bernard Morrison. Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa kutakuwa…

Read More

CHEKA,ALKASUSU WAPIMA UZITO,LEO VITASA VINAPIGWA

Cheka, Alkasusu wapima uzito, kupasuana leo MABONDIA Cosmas Cheka na Muhsini Swalehe ‘Alkasusu’ wamepima uzito jana tayari kwa pambano la ubingwa wa taifa wa TPBRC litakalopigwa leo kwenye Uwanja wa Kinesi, Dar. Mabondia wamepima uzito katika pambano hilo ambalo limeandaliwa na kampuni ya Grobox Sports Promotion lililopewa jina la Usiku wa Mishindo ambapo kiingilio cha…

Read More

SIMBA WAJA NA GIA NYINGINE

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini timu hiyo itakuwa kwenye mwendo mzuri msimu ujao ikiwa itapata wachezaji wenye ubora kila idara. Kocha huyo alikiongoza kikosi cha Simba kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa. Henock Inonga na Kibu Dennis hawa ni nyota waliofunga mabao kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja…

Read More

SIMBA YATAJA VIGEZO VYA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA

WAKIWA na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Wydad Casablanca leo Jumanne, kocha mkuu wa Simba, Abdelhack Benchikha amefumua kikosi na kubainisha mambo saba yatakayoipa ushindi timu hiyo. Ipo wazi kwamba Wydad Casablanca nao hesabu zao kubwa ni kupata ushindi hivyo zitakuwa ni dakika 90 za kazi kubwa,…

Read More