
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
Katika kuendeleza utamaduni wa kuishirikisha jamii inayotuzunguka, Meridianbet kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, iliandaa shughuli maalumu ya kusafisha fukwe ya Coco Beach. Coco Beach ni miongoni mwa fukwe pendwa na maarufu jijini Dar es Salaam, kwa msingi huo, ni muhimu eneo la fukwe hii kuwa safi na salama…
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum alikiona cha moto juzi wakati timu yake ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya KMC kutokana na kuchezewa faulo za kutosha. Rekodi zinaonyesha kwamba Fei alichezewa jumla ya faulo 4 zote ilikuwa ni kipindi cha kwanza jambo lililofanya ashindwe kuwa kwenye mwendo ambao alikuwa ameuzoea. Alikuwa kwenye vita kali na nyota…
WAWAKILISHI wa kimataifa Simba, jana Machi 20 walipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya ASEC Mimosas kwenye mchezo uliochezwa nchini Benin mrembo wa Simba amebainisha kuwa wamefungwa kibingwa huku akimpa pongezi kipa namba moja wa Simba Aishi Manula ambaye aliokoa penalti mbili.
ILITOKEA hali ambayo ilisababisha mchezo kati ya Ajax v Feyenoord kuchelewa kuanza kwa muda kutokana na tukio la moto kutokea upande mmoja katibu na lango la timu moja. Ajax ilipoteza katika mchezo huo uliochezwa Jumapili katika Uwanja wa Johan Cruyff Arena. Baada ya mchezo huo kuanza na kuchezwa ubao ulisoma Ajax 3-2 Feyenoord na ni…
STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube, amesema kwa sasa anahitaji kufunga mfululizo ili kuisaidia timu yake kumaliza ligi kwenye nafasi nzuri na kuwania Tuzo ya Ufungaji Bora msimu huu. Dube aliyasema hayo baada ya kufanikiwa kufunga bao lake la kwanza msimu huu wakati Azam FC ikiibuka na ushindi wa mabao 1-2 dhidi ya Namungo kwenye…
BERNARD Morrison, kiungo wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amesema kuwa wanaamini kwamba watafuzu hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho. Kichapo cha mabao 3-0 mbele ya ASEC Mimosas jana Machi 20,2022 kiliyeyusha matumaini ya Simba kutangulia katika hatua ya robo fainali hivyo wana kazi ya kufanya Uwanja wa Mkapa. “Tunajiamini, tunajiamini na…
BAADA ya wawakilishi wa kimataifa katika Kombe la Shirikisho, Simba kufungwa 3-0 dhidi ya ASEC Mimosas watani zao wa jadi Yanga wametupa jiwe gizani kimyakimya. Kupitia Insta yao waliachia picha ya Djuma Shaban akiwa mwenye kicheko na kuuliza..wawakilishi wa nini..au basi… Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga aliweza kudondosha maoni yake kwa kuandika labda wawakilishi…
WAKIWA Uwanja wa Santiago Bernabeu wameshuhudia ubao ukisoma Real Madrid 0-4 Barcelona. Pierre Aubameyang alitupua 2 dk 29 na 51,Ronald Araujo dk 38 na Ferran Torres dk 47. Mchezo huo wa El Clasico umiliki ulikuwa ni mali ya Barcelona ambao walikuwa na asilimia 60 huku Real Madrid wao ikiwa ni 40. Ushindi huo unaifanya Barcelona…
SAID Ntibanzokiza kiungo wa Yanga ambaye alikuwa nje kwa muda kutokana na kutibu majeraha yake anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 6 utakuwa ni wa mzunguko wa pili Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo aliumia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar na alikuwa na jambo…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MOHAMED Salah mshambuliaji wa Liverpool anatajwa kuingia katika rada za PSG na Barcelona ambazo zinahitaji saini yake. Mkataba wake ndani ya Liverpool kwa sasa una uhai wa miezi 18 na unatarajiwa kumeguka 2023. Mpaka sasa hakujawa na taarifa yoyote kutoka Liverpool ambao walikaa naye mara ya mwisho Desemva mwaka jana kuhusu kuboresha mkataba wake. Staa…
WAKATI ukurasa ukifungwa kwa Yanga kuimaliza KMC Uwanja wa Mkapa ulipigwa mpira wa darasani huku wachezaji wakitembezeana mikasi ya kishkaji katika msako wa pointi hizo. Ubao ulisoma Yanga 2-0 KMC ilikuwa ni Machi 19 na waliofanya iwe hivyo ni Matheo Anthon dk ya 39 kwa bao la kujifunga na Djuma Shaban ilikuwa dk ya 51….
UGENINI Simba imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 huku mabao yakipachikwa na Aubin Kramo Kouame dk 16,Stephane Aziz dk 23 na Karim Konate dk 57. Licha ya Air Manula kuokoa penalti mbili bado kazi ilikuwa ngumu kwa washambuliaji kuweza kucheka na nyavu. Katika kundi D sasa pointi inashushwa kutoka nafasi ya kwanza mpaka nafasi ya tatu…
UBAO unasoma ASEC Mimosas 2-0 Simba na utulivu kwa Simba tatizo dk 14 za mwanzo walitengeneza nafasi nne zote wakakosa na ni shuti moja la Meddie Kagere lililenga lango dk ya 27. Aubin Kramo Kouame dk 16 na Stephane Aziz wamemtungua Manula ambaye aliokoa penalti dk ya 36. Simba ina kazi kubwa ya kuweza kusaka…
YANGA imewaacha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba kwa tofauti ya pointi 11 kibindoni. Yanga ina pointi 48 baada ya kucheza mechi 18 na Simba ina pointi 37 baada ya kucheza mechi 17. Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC uliochezwa jana Uwanja wa Mkapa kumewapa nguvu vinara hao kujikita zaidi hapo. Simba wao…