
PRISONS KAMILI KUIVAA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Tanzania Prisons, kimejiweka sawa kuelekea mchezo wao dhidi ya Biashara United utakaochezwa leo Jumanne Machi 15,2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, Biashara itakuwa nyumbani kuwakaribisha maafande hao wa Magereza wanaoburuza mkia katika msimamo wa ligi hiyo. Prisons na Biashara zote zipo katika hatari ya kushuka…