
MAYELE ANA HESABU HIZI KWA SIMBA
FISTON Mayele, mshambuliaji namba moja ndani ya Ligi Kuu Bara amesema kuwa mchezo ujao dhidi ya Simba anaamini kwamba akipewa nafasi atafunga. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Yanga, Aprili 30 kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye msimamo Yanga inaongoza ikiwa na pointi 54…