FAINALI FA,MAPUMZIKO:YANGA 0-1 COASTAL UNION

MCHEZO wa hatua ya nusu fainali, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa sasa ni mapumziko huku timu zote zikipambana kuweza kusepa na ushindi. Ubao unasoma Yanga 0-1 Coastal Union chini ya kocha mzawa Juma Mgunda. Bao la kuongoza kwa Coastal Union limepachikwa kimiani na Abdul Suleiman,’Sopu’ ambaye anafikisha mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho msimu…

Read More

MKWANJA WA SIMBA KUTUMIKA KWA UMAKINI

MWENYEKITI wa Bodi ya Simba, Salim Muhene amesema kuwa  udhamini ambao wamepata kwa timu ya vijana wenye thamani ya milioni 500 ni mkubwa na watatumia fedha hizo kwa umakini mkubwa. Machi 23Klabu ya Simba iliingia mkataba wenye thamani hiyo na Kampuni ya Mobiad Afrika katika Hotel ya Serena na viongozi wa pande zote mbili walikuwepo….

Read More

SIMBA QUEENS YAGOMEA DABI DHIDI YA YANGA PRINCESS

MENEJA wa Simba Queens, Seleman Makanya, amesema kwa sasa hawana tena dabi na Yanga Princess, ni bora wahamie kwa Fountain Gate Princess au JKT Queens. Makanya amekuja na kauli hiyo akiwa na maana kuwa Yanga Princess wameshakuwa wa kawaida, hiyo ni baada ya Ijumaa kufungwa nyumbani na Fountain Gate Princess mabao 2-3 katika mwendelezo wa…

Read More

SHINDA TSH 4,750,000/= UNAPOCHEZA MICHEZO YA EXPANSE KASINO MTANDAONI

Promosheni Baabu Kubwa! Shindano la Expanse kila siku washindi wapya wanaibuka na kuzawadiwa bonasi za kasino, kitita cha maana Tsh 4,750,000/= kinakusubiri mwishoni mwa shindano, Jisajili Meridianbet na cheza michezo ya Expanse iliyopo Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Shindano la Expanse ndani ya Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa…

Read More

JACPOT YA SPORTPESA BILIONI YATOLEWA KWA MSHINDI

MSHINDI wa Jacpot Florian Valerian Massawe amekabidhiwa mfano wa hundi ya Bilioni 1,255,316,060/ na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Tarimba Abbas. Ni leo Mei 18 mshindi huyo amekabidhiwa katika ofisi za Sportpesa mbele ya mwakilishi kutoka TRA, Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Michezo ya Kubahatisha  pamoja na mke wa mshindi Lightness Florian Massawe. Mshindi huyo amesema…

Read More

LEO ZAWADI ZINAFUNGULIWA MERIDIANBET TU

Sikiliza ogopa matapeli sehemu ya kufungulia zawadi leo ipo moja tu na sio nyingine ni pale Meridianbet ambao michezo mbalimbali imesheheni na ikiwa imepewa ODDS KUBWA na za kibabe kabisa. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wana kazi moja tu leo nayo ni kuhakikisha wateja wake wanafungua zawadi kwa shangwe katika siku ya Boxing day,…

Read More

RASMI:KOCHA MPYA SIMBA NI MSERBIA

RASMI leo Juni 28,2022 Klabu ya Simba imemtangaza,Zoran Manojlovic kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akichukua mikoba ya Pablo Franco ambaye alichimbishwa Mei 31,2022. Kocha huyo raia wa Serbia aliwahi kufundisha ndani ya kikosi cha Al Hilal ya Sudan hivyo ana uzoefu na soka la Afrika. Ana umri wa miaka 59 hivyo anakuja Tanzania kuendeleza…

Read More

YANGA KAMILI GADO KUWAKABILI WAPINZANI WAO KIMATAIFA

KIUNGO mkabaji, Mganda, Khalid Aucho na mshambuliaji, Mzambia, Kennedy Musonda wote wa Yanga wamesema kuwa wapo fiti tayari kuwavaa wapinzani wao Al Merrikh ya nchini Sudan. Timu hizo zitavaana katika mchezo wa marudiano wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa leo saa moja kamili usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar. Katika mchezo…

Read More

MBWANA SAMATTA KUGOMBEA URAIS TFF

NAHODHA wa Taifa Stars na mshambuliaji wa KRC Genk anayecheza hapo kwa mkopo akitokea Fernebache ya Uturuki Mbwana Samatta amefunguka kuwa, siyo ajabu siku moja akwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Samatta aliyasema hayo wakati alipohojiana na Salama Jabir kwenye kipindi cha Salama Na, aliweka wazi kuwa yeye ana uchu wa mafanikio na…

Read More

Mbagala Rangi 3 Yafurahia Ujio wa Meridianbet

Nancy Ingram ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet akiongozana na timu yake nzima leo hii walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Ikiwa bado hali ya hewa haijakaa vizuri kutokana na hizi mvua ambazo zinaendelea kunyesha Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli kwa wafanyabiashara kwaajili ya…

Read More

YANGA WAVAMIA ALGERIA LIGI YA MABINGWA

MABOSI wa Yanga, juzi walisafiri kuelekea nchini Algeria, kwa ajili ya kuwaangalia wapinzani wao CR Belouizdad waliongozana na mchambuzi wa video, Khalil Ben Youssef. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Novemba 24, mwaka huu katika mchezo wa Kundi D wa Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa nchini Algeria. Yanga imepania kufanya vema katika michuano hiyo ya kimataifa msimu…

Read More

VIDEO:IBWE AFUNGUKIA KUTANGAZA SARE ZA SIMBA

HASHIM Ibwe,mtangazaji wa Azam TV ameweka wazi sababu inayofanya kila anapotangaza mechi za Simba matokeo kuwa ni sare ndani ya dakika 90 kwa msimu wa 2021/22. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliokamilika kwa suluhu kisha mchezo wa pili ulikuwa ni ule dhidi ya Namungo FC uliochezwa Uwanja wa Ilulu na ubao ulisoma Namungo…

Read More