YANGA KUCHAGUA SIKU YA KUFUNGWA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa watapanga wao lini wafungwe ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na uimara walionao. Kwenye ligi Yanga imecheza mechi 44 bila kufungwa ambapo walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Simba ambao ni watani zao wa jadi. Jana walipata ushindi wa bao1-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo…

Read More

MASHINE ZAZIDI KUTUA YANGA

MASHINE za kazi zimezidi kutua ndani ya Yanga ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya kutwaa taji la ligi kwa msimu wa 2023/24 na walimaliza wakiwa namba moja kwenye msimamo na pointi 80….

Read More

ISOME AZIZ KI HAKIKISHA

MABAO 21 kibindoni mwamba Aziz KI kakamikisha akiwa ni mfungaji bora msimu wa 2023/24 ambao umegota mwisho leo Mei 28 2024. Kwenye tuzo ya ufungaji bora hakikisha jina linasoma Aziz KI kwa kuwa amefanya kazi yake kwa ushirikiano mkubwa na wachezaji wengine ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ushindi wa mabao 4-1 waliopata Yanga mbele ya Tanzania Prisons umewapa pointi…

Read More

MIDO AS VITA AFUNGUKA KUTUA YANGA

KIUNGO wa kimataifa wa Togo anayekipiga katika Klabu ya AS Vita, Marouf Tshekai ni kama amekubali kujiunga na klabu ya Yanga mara baada ya kuweka wazi kuwa yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa masharti. Marouf ambaye amekuwa kiungo bora wa Ligi Kuu ya DR Congo kwa misimu miwili mfululizo ni moja kati ya wachezaji…

Read More

NGUVU YA WASHKAJI INAKWENDA KUONEKANA MKWAKWANI TANGA

UKIONA giza linazidi wanasema kunakaribia kukucha, hivyo tu basi kwa namna joto la Ngao ya Jamii linavyozidi kukaribia basi ligi ipo njiani. Waliotwaa taji ya Ngao ya Jamii 2022/23 ni Yanga wanakwenda kukutana na Azam FC. Timu zote zitakwenda kuonyesha nguvu ya ushikaji ndani ya Uwanja wa Mkwakwani Agosti 9. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa…

Read More

NYOTA HAWA WANAACHWA YANGA NA SIMBA

USAJILI wa dirisha dogo unaendelea ambapo kuna wachezaji waliotambulishwa mitaa ya Kariakoo kwa Yanga na Simba. Ikumbukwe kwamba Yanga walikuwa wa kwanza kuanza utambulisho walipomtambulisha kiungo Shekhan Ibrahim kisha Simba walifuata kwa kumtangaza Saleh Karabaka. Kuna orodha ya wachezaji ambao wataachwa kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

Read More

KUSHINDWA LEO MWANZO WA KUPAMBANA KESHO

MAISHA ya mpira yanahitaji umakini mkubwa kwa kila mmoja kupambana kutimiza malengo ambayo yapo kwenye timu husika na inawezekana licha ya kwamba msimu unakaribia kufika ukingoni. Tumeona kwamba kila timu imefanya kazi yake kwa kupambana kufikia malengo na wapo ambao walikwama na wengine wanasubiri mpaka mechi mbili za mwisho kukamilisha hesabu huku Yanga wakiwa wametwaa…

Read More

FUNGA KAZI 2023/24 RATIBA HII HAPA

LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo wazi bingwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hesabu ni kwenye tuzo ya kiatu bora na nani atamaliza nafasi ya pili msimu wa 2023/24. Mechi za mwisho…

Read More

MUDA ANA BALAA KUMBE ALIPISHANA NA SIMBA

MWAMBA Mudathir Yahya ndani ya Ligi Kuu Bara ana balaa zito kutokana na kazi anayofanya katika kutimiza majukumu yake akishirikiana na wachezaji wengine. Alipokuwa huru alikuwa akitajwa kuhitajika ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuachana na mabosi wake Azam FC ambao walieleza kuwa walifikia hatua ya kuachana na nyota huyo kwa kuwa hakuwa tayari…

Read More

YANGA NA AZAM FC KAMILI KUVAANA KWA MKAPA

TAMBO zimetawala kwa makocha wa Yanga na Azam FC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa kesho Septemba 6,2022 Uwanja wa Mkapa. Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi itakuwa nyumbani kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa ugenini. Ilikuwa mchezo dhidi ya  Polisi Tanzania,ambapo ubao ulisoma…

Read More

MWANZO WA LIGI USHINDANI MUHIMU

KAZI imeanza kwenye anga la kitaifa na kimataifa kwa kila timu kuwa kwenye majukumu yao kutimiza kile ambacho ni muhimu uwanjani. Msimu mpya unakuwa na mengi mapya kuanzia ratiba pamoja na wachezaji kuwa katika presha ya kufanya vizuri zaidi kuongeza mwendo wa kuwa bora. Sio Namungo pekee wenye presha ya kufanya vizuri bali Singida Fountain…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA,MATOKEO BONGO

 MEI 18, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu kuzidi kusaka ushindi kwenye mechi ambazo watacheza na leo ni mchezo mmoja tu wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa. Azam FC itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Azam FC mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku. Azam FC ipo nafasi ya 5 ikiwa na pointi…

Read More

PROMOSHENI YA NON STOP DROP INATOA MKWANJA MREFU |SHIRIKI KWA KUCHEZA KASINO

Jiunge na promosheni ya Kusisimua iitwayo NON-STOP DROP, inayotolewa na Meridianbet Jiandae kwa sherehe ya zawadi za mamilioni ya pesa zisizoweza kufikirika. Promosheni hii ya NON-STOP DROP inaletwa kwako na Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa ushirikiano na Playson. Unachohitaji kufanya ni kucheza michezo ya sloti iliyochaguliwa kutoka kwa mtengenezaji maarufu huyu na unaweza kuchukua sehemu…

Read More