
POCHETTINO KUFUKUZWA PSG KISA KICHAPO MBELE YA REAL MADRID
MAURICIO Pochettino yupo kwenye presha ya kufutwa kazi ndani ya kikosi cha PSG baada ya timu hiyo kutolewa katika mbio za kuwania ubingwa wa UEFA Champions League. Ni Real Madrid waliweza kuwaondoa katika hatua ya 16 bora kwa jumla ya mabao 3-2 mchezo wao wa pili uliochezwa Uwanja wa Santiago Bernabeu walipoteza kwa kufungwa mabao…