KOCHA ORLANDO PIRATES AGOMEA USHINDI WA SIMBA

KOCHA wa Orlando Pirates, Mandla Ncikazi amesema Simba imewahujumu kwenye mchezo wao wa kimataifa waliocheza jana Uwanja wa Mkapa. Baada ya dk 90, ubao ulisoma Simba 1-0 Orlando kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza uliokuwa na ushindani mkubwa. Kocha huyo amesema:”Kama wameshinda basi kwa penalti ambayo naona kwamba sio sawa kwani walileta…

Read More

KAGERA SUGAR YATUMA UJUMBE HUU SIMBA

BUBERWA Birikes, Kocha Msaidizi wa Kagera Sugar amesema kuwa watafanya kazi kubwa kupata ushindi mbele ya Simba kesho kwenye mchezo wa ligi. Kesho Mei 11, Kagera Sugar ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Akizungumza na Saleh Jembe,Birikes amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Simba…

Read More

NAMUNGO WAGOTEA NUSU FAINALI,MLENDEGE WAMEPENYA

BAO la mapema lililojazwa kimiani na staa wa Namungo FC, Ibrahim Mkoko dakika ya 07 halikutosha kuifikisha timu hiyo kutoka bara hatua ya fainali. Ni kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2023 hatua ya nusu fainali ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Mlandege 1-1 Namungo. Bao lililoweka usawa kwa Mlandege…

Read More

DAKIKA 45, YANGA 1-0 DODOMA JIJI

UWANJA wa Mkapa, Desemba 31, mchezo wa Ligi Kuu Bara dakika 45 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0Dodoma Jiji. Mtupiaji wa bao ni Fiston Mayele ambaye amepachika bao hilo akiwa ndani ya 18. Ilikuwa ni dakika ya 41 bao hilo ameweza kulioachika kwenye mchezo wa leo ambao umekuwa na ushindani mkubwa. Yanga wameweza kumiliki mpira kwa…

Read More

MTIBWA SUGAR YAPOTEZA TENA UGENINI

HAIJAWA kwenye mwendo mzuri Klabu ya Mtibwa Sugar ndani ya msimu wa 2023/24 kutokana na kukwama kupata pointi tatu ugenini. Desemba 7 ikiwa ugenini imepoteza pointi tatu dhidi ya Namungo FC kwa kushuhudia ubao ukisoma Namungo 1-0 Mtibwa Sugar. Bao la ushindi lilifungwa Derick Mukombozi ambapo Mtibwa Sugar ilitoka kupoteza mchezo wao dhidi ya Azam…

Read More

KUMBE TATIZO LA AZAM FC LIPO HAPA

VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa tatizo kubwa ambalo linaitesa timu hiyo kwenye mechi zake za ligi ni kukosa umakini kwenye mechi ambazo wamecheza. Azam FC ilinyooshwa mabao 2-0 dhidi ya Yanga pia ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mechi za awali kabisa msimu wa 2021/22. Ilishinda bao…

Read More

ROBERTSON ANAAMINI NUNEZ ATAKUWA MSAADA

 BEKI wa Liverpool,Andy Robertson ameweka wazi kuwa ingizo jipya ndani ya kikosi hicho Darwin Nunez utaleta mabadiliko kutokana na uwezo wake. Ni pauni milioni 85 zimetumika na Liverpool kuipata saini ya Nunez mwenye miaka 23 ambaye ametoka Klabu ya Benfica,mwezi uliopita. Nyota huyo alishindwa kuonyesha makeke kwenye mchezo wake wa kwanza wa kirafiki wakati timu…

Read More