
YANGA YAICHAPA KWA MARA NYINGINE AZAM FC KWAO
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameituliza kwa mara nyingine tena Azam FC baada ya kuwatungua mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Azam FC ni wao walianza kupata bao la kuongoza kupitia kwa Rodgers Kola ilikuwa dk ya 10 liliwekwa usawa na Djuma Shaban kwa mkwaju wa penalti dk…