MABAO SITA YAKUSANYWA KWENYE MECHI TATU

MABAO 6 yalikusanywa kwenye mechi tatu za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Oktoba 4,2022 katika msimu wa 2022/23. Mchezo uliokusanya mabao mengi ulikuwa ni ule Ruvu Shooting 1-2 Yanga ikiwa ni mabao matatu kwenye mchezo mmoja. Watupiaji kwenye mchezo huo ni Feisal Salim dakika ya 52 na Bakari Mwamnyeto dakika ya 71 lile la Ruvu Shooting…

Read More

KAZI YA JOB MBELE YA COASTAL UNION ILIKUWA PEVU

DICKSON Job beki wa Yanga ni mtu wa kazi ambapo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union wakati Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa aliweza kuwa kwenye ubora. Jumla alipiga pasi 80 na katika pasi hizo alizotoa ni moja pekee iliweza kupotea kwa kutofika mahali ambapo alikuwa anahitaji ifike. Katika pasi hizo mguu ambao anapenda kuutumia…

Read More

SIMBA KAMILI KUIKABILI HOROYA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Horoya ambayo ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Jumamosi hii ya Februari 11, 2023 nchini Guinea. Tayari kikosi cha Simba mapema alfajiri ya leo kilikwea pipa kuwafuata wapinzani wao kikiwa na wachezaji wake…

Read More

MALI NDO BASI TENA AFCON

LICHA ya kuanza kutangulia kufunga bado hawajatusua kutinga hatua ya nusu fainali hivyo Mali kwa 2023 kutwaa taji hilo ndo basi tena mpaka wakati ujao. Mali ilipoteza kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya timu ya taifa ya Ivory Coast ambayo imetinga hatua ya nusu fainali Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) baada ya…

Read More

NABI:TUTAWAFURAHISHA MWAKA HUU ZAIDI

NASREDDINE Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwa mwaka mpya wa 2022 watazidi kuwafurahisha zaidi mashabiki kwa kupata matokeo mazuri pamoja na kucheza soka safi. Yanga imecheza mechi 11 bila kupoteza mchezo hata mmoja na kibindoni ina pointi 29 ikiwa ipo namba moja kwenye msimamo. Ni ushindi wa mabao 4-0 walipata jana Desemba 31 kwenye…

Read More

AZAM FC NA COASTAL UNION ZAPIGANA MKWARA

KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya matajiri wa Dar, Azam FC dhidi ya Wagosi wa Kaya, kutoka Tanga, Coastal Union maofisa habari wa timu zote mbili wamepigana mikwarakwa kubainisha kuwa wote wanahitaji ushindi. Kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar mshindi atakutana na Yanga…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 17

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa sasa ambapo leo Desemba 17 kuna mechi ambazo zitachezwa. Geita Gold itashuka Uwanja wa Nyankumbu kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting. Mbeya Kwanza itakuwa na kibarua Uwanja wa Sokoine dhidi ya Namungo FC. Dodoma Jiji v Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.

Read More

SIMBA YAANZA KWA USHINDI LIGI KUU BARA

SIMBA imeeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa KMC, Mwenge. Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili ambapo Tabora United waliingia uwanjani kwa hesabu za kujilinda zaidi huku wakifaya mashambulizi kwa kushtukiza mbele ya Simba. Mabao yamefungwa na Che Malone dakika…

Read More