
MORRISON NA SAKHO WAWATISHA WASAUZI
UONGOZI wa Orlando Pirates, umewataja wachezaji kama Bernard Morrison na Pape Ousmane Sakho kuwa ni wachezaji wa kuchungwa katika mchezo wao kutokana na ubora wao waliouonyesha katika mchezo uliopita ambapo Simba waliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya USGN ya nchini Niger. Orlando Pirates ambao wamepangwa kucheza na Simba katika hatua ya robo fainali…