
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
UONGOZI wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani. Simba SC imepiga marufuku Tochi hizo, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates utakaopigwa Jumapili (April 17), Uwanja…
NYOTA Ibrahimu Ajibu mzee wa makorokocho rekodi zinaonyesha kuwa alijenga ushikaji akiwa ndani ya Simba kwa kuwa aliweza kucheza mechi mbili pekee. Ajibu hakuwa ni chaguo la kwanza mbele ya Kocha Mkuu, Pablo Franco ambaye alikuwa akiweka wazi kwamba nyota huyo ni moja ya viungo wenye uwezo mkubwa. Akiwa ndani ya kikosi cha Simba kiungo…
AHMED Ally, Meneja wa Kitengo cha Habari Mawasiliano ndani ya kikosi cha Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Orlando Pirates ambao ni hatua ya robo fainali na kuwaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kwenye mchezo huo kutimiza ile idadi ambayo wamepwa na CAF mashabiki 60,000. Ameweka wazi kwamba wapo…
FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga aliwekwa mtu kati juzi mbele ya Geita Gold baada ya kukabidhiwa kwenye mikono salama ya Kelvin Yondan na Juma Nyosso ambao walikula naye sahani moja. Mzee huyo wa kutetema aliyeyusha dk 90 mazima bila kutetema huku kila hatua ambayo anakwenda nyuma alikuwa yupo Nyosso ama Yondani kwa ajili ya kwenda…
HAKUNA anayejua itakuaje sasa kwenye hatua ya robo fainali baada ya Simba kufanikiwa kupenya hasa kwenye upande wa lango nani ataanza kati ya Aishi Manula,Beno Kakolanya ama Ally Salim. Weka kando kuhusu kufikiria nani ataanza lakini chaguo namba moja ni Manula ambaye amekuwa kwenye mwendelezo bora awapo langoni. Hapa tunakuletea namna nyota huyo alivyotimiza majukumu…
MKAZI wa Lukobe, Morogoro, George Kimaro leo asubuhi ameibuka mshindi wa kufungia kampeni ya Bet Bonanza ya SportPesa, baada ya kujishindia kitita kkikubwa zaidi cha shilingi 15,888,000 katika droo ya mwisho ya Bet Bonanza ambayo imefika tamati siku ya leo. Katika droo hiyo ambayo pia imehusisha washindi wa droo ya shilingi milioni moja moja kwa…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna ugumu mkubwa wa kupata matokeo kutokana na ubora wa viwanja pamoja na kushindwa kutumia nafasi ambazo wanazipata. Mechi mbili ugenini, Pablo kaambulia pointi nne huku akipoteza pointi mbili kwenye msako wa pointi sita, mchezo wake ujao ni dhidi ya Orlando Pirates ambao wa ni wa Kombe…
KAZI ilikuwa kubwa kwenye msako wa ushindi Uwanja wa Mkapa kati ya Yanga dhidi ya Geita mwisho wa siku bahati ikawa kwa upande wa Yanga. Geita Gold waliweza kuonyesha burudani makini ila mwisho wakapoteza kwa penalti 7-6 dk 90 zilikamilika kwa kufungana bao 1-1 ilikuwa namna hii msako wa kutinga nusu fainali:- Yaliyolenga lango Kwa…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuweza kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika hivyo watahakikisha wanashinda hatua ya robo fainali ili kuweza kutinga hatua ya nusu fainali kisha fainali ili kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika. Ofisa Habari wa Simba,Ahmed Ally amesema kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco na Seleman…
BAADA ya jana, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuwajata anaodai wanataka kumuua, msemaji Yanga Haji Manara amemshukia Makonda. Manara ameweka komenti kwenye posti ya makonda na kuandika hivi: “Anaitwa Mungu, mkweli na kwa sasa hachelewi kujibu, leo unatafuta sympathy huku ukijua nn…
MWENDO wa Ligi Daraja la Kwanza umeongeza mvuto kwa kiasi kikubwa wakati ligi hiyo ikiwa inakwenda ukingoni. Vinara ni DTB wakiwa na pointi 55 na inavyoonekana kama watashinda mechi zao mbili zilizobaki na kujikusanyia pointi sita, watakuwa na asilimia 95 ya kuwa tayari wamepanda hadi Ligi Kuu Bara. Pointi 61 zinaonekana kuwa uhakika…
DICKSON Job, beki wa kati wa kikosi cha Yanga juzi alipiga kazi kwelikweli kwa kushirikiana na wahezaji wenzake ikiwa ni pamoja na Bakari Mwamnyeto,Yanick Bangala mbele ya Geita Gold. Beki huyo wa kati wakati Yanga ikitinga hatua ya nusu fainali aliyeyusha dk 90 na alikuwa ni mtengeneza mipango eneo la kati kwa kuwa pasi zilianzia…
ERIC ten Hag anatajwa kuwa kwenye mpango wa kujiunga na Klabu ya Manchester United kwa ajili ya kuinoa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Kwa sasa Hag yupo ndani ya kikosi cha Ajax akiwa ni kocha katika timu hiyo. Inaelezwa kuwa Manchester United wanahiraji kupata huduma yake ili aweze kuwa ndani ya Old Trafford kwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa ni kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Orlando Pirates unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo VAR itatumika kwenye mchezo huo na namna ambavyo itafungwa kwa kuwa tayari vikao vimeanza kufanyika.
UONGOZI wa Yanga umetumia mitetemo ya Fiston Mayele kuwatisha wapinzani wao wajao kwenye ligi ambao watakuwa ni Simba. Yanga inaongoza ligi ina pointi 51 baada ya kucheza mechi 19 bila kupoteza huku Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiwa na pointi 41 baada ya kucheza mechi 19. Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa uwepo…