SIMBA YAIVUTIA KASI AZAM FC

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimeendelea kuivutia kasi Azam FC. Mchezo wao wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Januari Mosi 2022 na utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili wa ushindani kwa mwaka huo mpya. Leo Desemba 29 kikosi cha Simba kimefanya mazoezi Uwanja wa Bunju Complex ikiwa ni…

Read More

WASIWASI DAWA, WAARABU SIO WA KUWABEZA

WASIWASI ni dawa wanasema hivyo hivyo kwa wawakilishi kwenye anga la kimataifa Yanga hampaswi kujiamini kupita kiasi. Mwendo ambao mlianza nao kwenye kila hatua hakika unapaswa kupongezwa na ili uwe na mwendelezo mzuri ni muhimu kupata ushindi leo kwenu Yanga. Moja ya fainali kubwa na ngumu kupata kutokea ni hii hapa kwa kuwa kosa moja…

Read More

MRITHI WA MIKOBA YA DJUMA HUYU HAPA

MELIS Medo, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Dodoma Jiji kwa msimu wa 2022/23. Kocha huyo anachukua mikoba ya Masoud Djuma ambaye alifikia makubaliano ya kuachana na timu hiyo Oktoba 10,2022. Sababu kubwa ya Djuma ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi ndani ya Simba ni kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo msimu wa 2022/23…

Read More

KANOUTE LAZIMA ABADILIKE,ANAIGHARIMU TIMU

KIUNGO Sadio Kanoute ni lazima abadili uchezaji wake kwenye kutimiza majukumu yake anaigharimu timu, anagharimu afya za wachezaji wake. Ni mchezaji mzuri anafanya kazi ngumu na inayoonekana lakini lazima aongeze umakini kwenye kutimiza majukumu yake. Kuna mikato yake mingine ni hatari kwa usalama wa wachezaji na kadi za njano ambazo anapewa zinaigharimu timu yake. Benchi…

Read More

LUSAJO ANATUPIA TU HUKO

RELLIATS Lusajo kasi yake ya kucheka na nyavu imezidi kushika kasi baada ya leo kupachika bao lake la tano ndani ya Ligi Kuu Bara. Ni mbele ya Coastal Union dakika ya 38 kwa mkwaju wa penalti kwenye mchezo unaochezwa Uwanja wa Majaliwa,Ruangwa, Lindi. Mzawa huyo kwa sasa ni namba moja kwa kucheka na nyavu akiwa…

Read More

MERIDIANBET WANAKUPATIA ODDS NONO WIKIENDI HII

Wiki imeisha kwa michezo mbalimbali Carabao, FA, Coppa Italia lakini sasa wikiendi hii ligi zinaendelea kuanzia leo Ijumaa, EPL na Ligi nyingi zitatimua vumbi kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wanatoa ODDS Nono na Machaguo Zaidi ya 1000+ Mechi kalii za leo, baada ya Tajiri wa Chelsea kutumia takriban paundi 300m kwenye usajili wa dirisha dogo, akiwaleta…

Read More

UGANDA 0-0 STARS

UBAO wa Uwanja wa Suez Canal huko Ismailia Misri unasoma Uganda 0-0 Tanzania. Ni mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 nchini Ivory Coast ambapo timu zotezinasaka pointi tatu. Mchezo ambao upo wazi kwa timu zote kupata matokeo kutokana na nafasi ambazo zinatengenezwa. Uganda wanaonekana kuwa imara hasa kwa kupeleka mashambulizi mara kwa mara mbele ya…

Read More

MASTAA AZAM FC WAONGEZEWA MAUJANJA

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wake kuongeza umakini wakiwa kwenye mechi za ushindani ili kupata matokeo mazuri. Timu hiyo kwenye mechi mbili za ugenini ilikomba pointi zote sita kwa sasa ipo Dar kwa maandalizi ya mchezo wake ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Ni pointi 19…

Read More

CHELSEA YAPIGA 9-0 LEICESTER

TIMU ya Wanawake ya Chelsea imeibuka na ushindi wa mabao 9-0 dhidi ya timu ya Wanawake ya Leicester City. Mchezo huo wa Ligi ya Wanawake ulichezwa Uwanja wa The King Power Jumapili ya Machi 27,2022. Mabao ya Guro Reiten ambaye alitupia mabao mawili ilikuwa dk ya 3 na 45+5 huku Sam Kerr yeye alitupia mawili…

Read More

SHABIKI WA SIMBA ASHINDA MILIONI 49 NA10 BET

SHABIKI wa Klabu ya Simba na timu ya Manchester United, Derick Mustafa, ameshinda Sh 49.8 milioni baada ya kubashiriki kwa kwa usahihi mechi 14 za ligi mbalimbali za soka duniani kupitia ‘mkeka’ wa kampuni ya 10 Bet. Mustafa ambaye ni mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kushinda kiasi kikubwa…

Read More