
SIMBA YAPIGA HESABU ZA ROBO FAINALI
KUELEKEA mchezo wao wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa watafanya kila kinachowezekana kushinda mchezo huo, ili kutinga hatua ya robo fainali. Aprili 3, mwaka huu, Simba iliyo nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi D, wanatarajia kuwa wenyeji wa USGN…