
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
LIVERPOOL imeichapa Manchester United mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Anfield. Ni mabao mawili.ya Mohamed Salah huku moja lile la ufunguzi likifungwa na Luis na moja lilifunvwa na Sadio Mane. Thiago amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo huo kwa kuwa alikuwa ni mtengeneza mipango ya pasi ndani ya Anfield. Liverpool ipo…
KLABU ya Njombe Mji leo Aprili 19 imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Rhino Rangers katika mchezo wa 8 bora. Mtupiaji Ibrahim Mdaki alitumia mtindo wa kupekecha kama Pape Sakho wa Simba kushangilia na kuimaliza mazima Njombe Mji. Katika mchezo mwingine wa kundi A ilishuhudiwa Alliance FC wakitoshana nguvu na Tunduru Korosho. Baada ya…
BREAKING:Klabu ya Simba leo Aprili 19 imetoa taarifa ya kuhusu malalamiko ya uongo ya Kocha Mkuu wa Orlando Pirates, Mandla Nickazi alizotoa baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo Orlando Pirates ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Taarifa hiyo imeeleza kwamba Simba imechukizwa na maneno ya kashfa yaliyotolewa na kocha huyo ambayo yanatabaisha ukosefu…
ANAANDIKA Saleh Jembe Ukimsikiliza kocha huyu wa Orlando Pirates, unaweza kusikitika sana na leo unaona ndiye amekuwa gumzo kwa kuwa sisi Watanzania ni wepesi kuamini ya kuambiwa kuliko tunayoona. Kawaida ya watu wa Afrika Kusini ni kulalamika kila jambo hata kama hawana uthibitisho. mfano, kocha huyu analalamikia VAR haikufanya kazi, tena anawalalamikia Simba na sisi…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinatarajiwa kushuka uwanjani Aprili 23 kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo FC. Ni mchezo wa ligi ambapo utakuwa ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa awali walipokutana Uwanja wa Ilulu ubao kusoma Namungo 1-1 Yanga. Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa wapo…
BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC wamesema wanakwenda Afrika Kusini kumalizia kazi. Jumapili Aprili 17, Simba iliibuka na ushindi huo katika Uwanja wa Mkapa, Dar, Jumapili ijayo watarudiana nchini Afrika Kusini ambapo mshindi wa jumla atakwenda…
MENEJA wa Simba Queens, Seleman Makanya, amesema kwa sasa hawana tena dabi na Yanga Princess, ni bora wahamie kwa Fountain Gate Princess au JKT Queens. Makanya amekuja na kauli hiyo akiwa na maana kuwa Yanga Princess wameshakuwa wa kawaida, hiyo ni baada ya Ijumaa kufungwa nyumbani na Fountain Gate Princess mabao 2-3 katika mwendelezo wa…
MENEJA wa Mchezaji wa Yanga Bakari Mwamnyeto aitwaye Kassa Mussa amedai Klabu ya Simba inamsumbua sana juu ya uwezekano wa kumsajili mteja wake ambaye ni mchezaji na nahodha wa Klabu ya Yanga Bakari Mwamnyeto. Mussa amesema kuwa Simba wameweka mezani ofa kubwa mno ya kutaka kumsajili mchezaji huyo na mbali na Simba Mwamnyeto amepata ofa…
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Manchester City inahitaji kuinasa saini ya Erling Haaland ili kuweza kuwa naye ndani ya kikosi msimu ujao. Hesabu hizo zinakuja baada ya msimu huu kukosa saini ya Harry Kane mwaka uliopita. Euro 75 milioni zimewekwa mezani ili kumpata nyota huyo wa Borussia Dortmund pia na Real Madrid wanatajwa kuhitaji saini ya…
ILE pumzi ya moto wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya robo fainali Orlando Pirates waliivuta baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0, Uwanja wa Mkapa. Wimbo wa matumizi ya nafasi zinazotengenezwa kwa Simba utadumu kwenye vichwa vyao kwa kuwa mashuti 17 waliyopiga ni matano yalilenga lango la wapinzani wao. Kwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
LIGI ya Beach Soccer imeendelea leo katika viwanja vya Coco Beach ambapo mechi za makundi mawili A na B zilichezwa. Ulianza mchezo wa Kundi A kati ya Ilala v PCM ambapo baada ya mchezo kukamilika ubao ulisoma Ilala 7-7 PCM na mshindi alipatikana kwa penalti na ni Ilala ilishinda penalti 5-3 PCM. Mchezo wa kundi…
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wakimalizana na Namungo leo kituo kinachofuata ni dhidi ya Yanga. Ruvu Shooting wameomba mchezo wao dhidi ya Yanga uchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika,Kigoma na unatarajiwa kuchezwa Mei 4,2022. Masau Bwire amesema kuwa kila mchezo kwao ni muhimu na wanaimani ya kupata pointi tatu kutokana na uimara…
KOCHA wa Orlando Pirates, Mandla Ncikazi amesema Simba imewahujumu kwenye mchezo wao wa kimataifa waliocheza jana Uwanja wa Mkapa. Baada ya dk 90, ubao ulisoma Simba 1-0 Orlando kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza uliokuwa na ushindani mkubwa. Kocha huyo amesema:”Kama wameshinda basi kwa penalti ambayo naona kwamba sio sawa kwani walileta…
HATUA moja kila wakati tunaona kwa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 kwa namna ambavyo wanafanya vizuri kwenye mechi za kuwania Kufuzu Tiketi ya Kombe la Dunia. Pongezi kwa Serengeti Girls baada ya kuweza kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Burundi mchezo uliochezwa Uwanja wa Urukundo,Ngozi nchini Burundi. Haukuwa mchezo mwepesi…
KWENYE mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Aprili 17 milango ilikuwa migumu kwa timu zote mbili. Baada ya dk 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 0-0 KMC. Matokeo hayo yanaifanya Kagera Sugar kufikisha pointi 26 nafasi ya 5 baada ya kucheza jumla ya mechi 20. KMC inafikisha pointi 24…