
PABLO AJA NA MAPYA YA MORRISON,YANGA NA AZIZ KI, NDANI YA CHAMPIONI
UTAZAME muonekano wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
UTAZAME muonekano wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
UNAWEZA kusema mwenendo wa ufungaji wa washambuliaji wa Simba msimu huu, hauwafurahishi wengi ndani ya klabu hiyo, hali iliyomfanya Rais wa Heshima, Mohamed Dewji kuweka zaidi ya shilingi milioni 800 za usajili msimu ujao. Mo alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kabla ya kuachia nafasi hiyo kwa Salim Abdallah ‘Try Again’, huku yeye…
RASMI beki kisiki wa Yanga ambaye ni nahodha pia Bakari Nondo Mwamnyeto ameongeza kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mkataba wa nyota huyo ambaye aliibuka hapo akitokea kikosi cha Coastal Union ulikuwa unatarajiwa kufika tamati mwishoni mwa msimu wa 2021/22. Miongoni mwa timu ambazo zilikuwa zinatajwa kuwania saini yake ni pamoja na timu…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao hawajawa fiti wanavuruga mipango ya timu hiyo kutokana na kumpa kazi ya kubadili kikosi cha ushindi. Miongoni mwa wachezaji ambao hawajawa fiti kwa sasa ndani ya Simba ni pamoja na kiungo wa kazi Jonas Mkude na mshambuliaji Chris Mugalu. Akizungumza na…
GEITA Gold imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Majimaji, Songea. Katika mchezo wa leo uliokuwa na ushindani mkubwa mapema kabisa mshambuliaji namba moja wa Geta Gold,George Mpole aliweza kupachika bao la kuongoza. Mpole ambaye ni mpole kwenye maana ya jina lakini kwenye kucheka na…
MJUMBE wa Kamati ya Mashindano ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, anajivunia usajili bora wa kiungo mchezeshaji, Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ ambao umeongeza ubora wa kikosi chao. Sure Boy ni kati ya wachezaji watano waliosajiliwa na Yanga katika dirisha dogo msimu huu akitokea Azam FC. Wachezaji wengine waliosajiliwa na timu…
MJUMBE wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, ameahidi msimu ujao kufanya usajili mkubwa zaidi utakaokuwa gumzo Afrika kwa kushusha mashine hatari zaidi ya Khalid Aucho na Yannick Bangala. Hiyo ni baada ya msimu huu unaoelekea ukingoni kushusha vifaa vya maana wakiwemo nyota hao…
KOCHA wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata na Meneja wa timu hiyo, David Naftali, wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo, Tukio hilo lililosababisha Mechi Namba 180 ya Ligi Kuu Bara Namungo vs Mbeya Kwanza usichezwe lilitokea kwenye Uwanja wa Ilulu, Lindi. Taarifa iliyotolewa na…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema sare tatu mfululizo ambazo walizpata kwenye Ligi Kuu Bara ziliwatingisha kidogo na kuwatetemesha
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa kurejea kwao ndani ya Ligi Kuu Bara kumetokana na mipango mizuri iliyopangwa pamoja na ushirikiano kutoka kwa wachezaji. Ihefu ilishuuka ndani ya ligi msimu uliopita wa 2020/21 na sasa umerejea ndani ya ligi kwa ajili ya kuendelea na ushindani kwa mara nyingine tena. Katwila ameweka wazi kwamba…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa sare tatu mfululizo ambazo walizipata ziliwapa presha kidogo jambo ambalo liliweza kuwafanya wajipange kwa mara nyingine. Kwenye mechi tatu ambazo ni dk 270 Yanga walikwama kushinda zaidi ya kuambulia sare mazima kwenye msako wa pointi 9 waliambulia pointi tatu. Ilikuwa mbele ya Yanga, Ruvu Shooting na Tanzania…
KICHAPO cha mabao 2-0 wakiwa ugenini kimewapunguza kasi washika bunduki kuigusa Top 4 kutokana na kuachwa pointi na wale walio nafasi ya nne. Ni Tottenham ipo nafasi ya nne ikiwa na pointi 68 baada ya kucheza mechi 37 ikiwa ni tofauti ya pointi mbili na Arsenal. Ben White alijifunga dk ya 55 ya mchezo ilikuwa…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya Dola za Marekani 10,000 (zaidi ya Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ‘tambiko hatarishi’ katika mchezo dhidi ya Orlando Pirates Kabla ya mchezo huo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho, Wachezaji wa Simba walionekana kukusanyika katikati ya uwanja na baadaye moshi…
IMEELEZWA kuwa vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga wapo kwenye hesabu za kumshusha mbdala wa Fei Toto
MWINYI Zahera,Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana ndani ya Yanga amesema kuwa Simba wamejipotezea ubingwa wa ligi weyewe baada ya kushindwa kuwafunga vinara wa ligi. Ni Yanga wanaongoza wakiwa na pointi 60 baada ya kucheza mechi 24 waliweza kufikisha pointi hizo baada ya ushindi mbele ya Dodoma Jiji kwa mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri,Dodoma….
HONGERA kwa DTB pamoja na Ihefu baada ya kuweza kukata tiketi ya kupanda Ligi Kuu Bara hivyo maisha yao ndani ya Championship kwa sasa yamefika mwisho. Mwisho wa Championship kwao haina maana kwamba kazi imekwisha ni hatua moja wamepiga hivyo wana kazi kubwa kwa ajili ya msimu ujao kwenye ligi. Ambacho kinatokea ni kwamba zipo…