
PABLO:KIPINDI CHA PILI NILIKUJA NA MBINU TOFAUTI
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwenye mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kipindi cha pili aliamua kwenda na mfumo tofauti kwa kuwa walipata ushindi wa mapema. Mei 11, Uwanja wa Mkapa, Simba iliweza kushinda mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar na mabao yalitupiwa na Kibu Dennis dk ya 14 na John Bocco…