
HT:BIASHARA UNITED 0-0 YANGA
DAKIKA 45 za mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Yanga zimemeguka Uwanja wa CCM Kirumba leo Mei 23. Ubao unasoma Biashata United 0-0 Yanga ambapo kila timu inacheza kwa kushambulia na mpira wa pasi nyingi. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wamepiga jumla ya kona mbili ambazo hazijaleta matunda…