
KOMBE LA DUNIA KULETWA DAR
IKIWA ni kwa mara nyingine tena mfululizo Tanzania imefanikiwa kuwa miongoni mwa nchi tisa za Afrika ambazo Kombe halisi la Dunia linatarajiwa kutua nchini Mei 31 mwaka huu, katika ziara rasmi ya kombe inayosimamiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola ambao ni wadhamini wa mashindano hayo kwa ushirikiano na Shirikisho la soka Duniani…