
WATANZANIA WAITWA KUSHUHUDIA BEACH SOCCER COCO BEACH
WATANZANIA wameombwa kujitokeza kwa wingi kwenye Ligi ya Soka ya Ufukweni ambayo inaendelea katika Fukwe za Coco Beach Dar kwa kuwa ni burudani tosha. Bonifase Pawasa ambaye ni Mratibu wa Mashindano na Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Ufukweni amesema kuwa hamasa imekuwa kubwa kwa wanaofuatilia huku akiwaomba wale walioshindwa…