
SIMBA KAMILI KUIVAA KMC
SELAMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Simba imetoka kushinda mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Matola amesema:”Mchezo wetu tunajua kwamba utakuwa mgumu lakini tupo tayari kwa ajili ya kuweza kuona tunapata…