
ARTETA AMECHOKA KUWATETEA WACHEZAJI
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa walistahili kupata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Newcastel United. Arsenal ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa St James Park. Kichapo hicho kimeifanya timu hiyo kuwa kwenye wakati mgumu katika kusaka nafasi ya kucheza michuano ya Ligi…