
CHAMA HATIHATI KUWAKOSA YANGA NUSU FAINALI
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama kuna hatihati kuweza kuukosa mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga. Mchezo huo ambao ni wa hatua ya nusu fainali unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mei 28,2022. Mshindi wa mchezo huo anatarajiwa kutinga hatua ya fainali ambapo atacheza na mchezo wa fainali na mshindi wa mchezo Coastal…