
SAUTI:NYOTA HAWA WATATU NDANI YA YANGA KUPIGWA PANGA
IMEELEZWA kuwa nyota watatu ndani ya kikosi cha Yanga wapo kwenye hesabu ya kupigwa panga ili kuweza kupisha nyota wengine wapya kwa msimu wa 2022/22.
IMEELEZWA kuwa nyota watatu ndani ya kikosi cha Yanga wapo kwenye hesabu ya kupigwa panga ili kuweza kupisha nyota wengine wapya kwa msimu wa 2022/22.
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa CCM Kirumba kwa timu zote kugawana pointi mojamoja za ligi. Ni bao la George Mpole dk ya 20 na Kibu Dennis dk ya 27 kwa pasi ya Rally Bwalya kwenye mchezo wa leo ambao ulikuwa ni wazi kwamba kila timu ilikuwa na nafasi ya kushinda. Sasa Mpole anafikisha mabao 14…
KABLA ya mchezo kuanza Uwanja wa CCM Kirumba, George Mpole mshambuliaji wa Geita Gold na Kocha Mkuu, Felix Minziro wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi Aprili. Minziro alichaguliwa kuwa kocha bora na Mpole mwenye maao 14 akiwa ni mchezaji bora wa mwezi uliopita. Ubao kwa sasa unasoma Geita Gold 1- Simba ikiwa ni mapumziko kwenye mchezo…
IKIWA ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold, Simba inatarajia kushuka na kikosi kazi huku kipa namba moja Aishi Manula leo akiwa nje. Kikosi kipo namna hii:- Beno Kakolanya Shomari Kapombe Gadiel Michael Joash Onyango Pascal Wawa Kibu Dennis Kanoute Sadio John Bocco Rally Bwalya Pape Sakho Taddeo Lwanga
MBELE huko Premier League inaenda kumalizwa hivi kukiwa na vita tatu kali, majibu yake yatapatika baada ya dakika tisini kutimia za mechi hizo. UBINGWA Bingwa wa Premier League atafahamika leo kama ni Manchester City au Liverpool. Man City wataingia uwanjani kuvaana na Aston Villa kwenye Uwanja wa Etihad. Man City ni vinara wa Premier wakiwa na…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wao wa leo dhidi ya Geita Gold utakuwa mgumu kutokana na aina ya wapinzani ambao wanakutana nao. Simba wenye pointi 50 kibindoni wana kibarua cha kusaka pointi tatu nyingine leo mbele ya Geita Gold saa 10:00 jioni Uwanja wa CCM Kirumba huku Geita Gold nao wakiwa…
KLABU ya Geita Gold leo Mei 22 inatarajiwa kumenyana na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba ambao wapo nafasi ya pili na pointi zao 50. Geita Gold chini ya Kocha Mkuu, Felix Minziro imekuwa kwenye mwendo mzuri hasa mzunguko wa pili baada ya kuongeza baadhi ya nyota ikiwa ni pamoja na Juma Nyosso…
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar umeshamalika hivyo wameanza safari ya kurejea Dar. Jana Ruvu Shooting ilitoshana nguvu bila kufungana na Kagera Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kagera Sugar 0-0 Ruvu Shooting na kuwafanya wagawane pointi mojamoja…
VINARA wa Ligi Kuu Bara Yanga kwa sasa wanapiga hesabu za kufanya vizuri kimataifa ambapo wanahesabu za kufanya usajili mkubwa na wa maana namna hii
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wasichana U17 Serengeti Girls, Bakari Shime amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Cameroon. Shime amebainisha kwamba wanatambua uimara wa wapinzani wao hasa kutokana na mafanikio ambayo wameyapata lakini hilo haliwapi tabu kwa kuwa kwenye…
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amelazimika kumuongezea kandarasi kiungo wa Zambia, Rally Bwalya kwa ajili ya msimu ujao. Sababu kubwa inatajwa kuwa ni kutokuwa fiti kwa kiungo mkata umeme Taddeo Lwanga raia wa Uganda. Kiungo Bwalya alisajiliwa Simba Agosti 15, 2020 akitokea Power Dynamos FC ya kwao Zambia alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada…
FISTON Mayele mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga akiwa ametupia mabao 13 na pasi tatu amesema kuwa pasi ya kiungo Salum Aboubhakari, ‘Sure Boy’ ni ya viwango vikubwa. Mayele hakufunga kwenye mechi nne mfululizo za ligi na mara ya mwisho kufunga ilikuwa mbele ya Namungo FC kwenye ushindi wa mabao 2-1. Alifunga bao…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa mzunguko wa pili ambao umechezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro. Ushindi huo unaifanya Azam FC kusepa na pointi tatu Uwanja wa Manungu leo Mei 21 na kufikisha pointi 36 kibindoni. Azam FC wakiwa wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1…
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba Barbara Gonzalez na Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga Haji Manara leo wametinga katika Ofisi za Shirikisho la Mpira Tanzania, (TFF) ambapo waliiitwa kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya TFF. Kila mmoja kwa nyakati tofauti kaweka wazi kwamba hakuna jambo ambalo wanaweza kuzungumza mpaka pale taarifa itakapotolewa….
KUMEKUCHA kwa wawakilishi wa Tanzania, Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake, U 17 kuweza kuwakilisha nchi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Maandalizi ambayo walianza kuyafanya awali kabla ya mchezo inaonesha kulikuwa na mpango wa kupata ushindi kwenye mchezo ujao ambao utakuwa na ushindani mkubwa. Kikubwa kwa vijana hawa ambao wanaiwakilisha Tanzania…
MASTAA Simba ikiwa ni pamoja na John Bocco,Meddie Kagere,Henock Inonga wamewasili Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa kesho Mei 22, Uwanja wa CCM Kirumba