
BALAA LA FEI NI ZITO KINOMANOMA
BALAA la kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ndani ya ligi namba nne kwa ubora ni nzito kinomanoma kutokana na mwendelezo wake kuwa imara katika upande wa pasi za mwisho msimu wa 2024/25. Timu hiyo kwenye msimamo ipo nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi 22 ikiwa imekusanya jumla ya pointi 45 na safu ya…