
VIDEO: BOSI SIMBA AFUNGUKIA MAKOSA YALIPO NA KARIAKOO DABI
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amefungukia ishu ya timu hiyo kufanya makosa kwenye mchezo wao dhidi ya Mzizima Dabi, ishu ya waamuzi na kazi iliyopo mbele kuelekea mchezo dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025.