
SINGIDA BLACK STARS KUTUMIA UWANJA WA TANZANITE KWARAA BABATI MKOANI MANYARA
Klabu ya Singida Black Stars itautumia uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo mjini Babati mkoani Manyara kama uwanja wake wa nyumbani katika mchezo wa Kombe la Shirikisho CRDB dhidi ya KMC FC utakaochezwa Machi 13, 2024 majira ya saa 10:00 jioni. Taarifa Machi 10, 2025 iliyotolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Singida…