AZAM FC KUKIWASHA NA TAIFA JANG’OMBE LEO
BAADA ya Azam FC kukamilisha dakika 180 kwenye Ligi Kuu Bara na kusepa na pointi nne leo kikosi hicho kitakuwa Zanzibar. Mchezo wa kwanza wa ligi Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar na iliambulia sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Geita Gold. Mechi zote hizo mbili zilichezwa Uwanja…