
DARWIN NUNEZ NI SUALA LA MUDA TU, KARIBU ANFIELD TORRES MPYA
MPAKA sasa majina ambayo yanatajwa huenda wanahusika kusajiliwa ndani ya Liverpool ni Darwin Nunez, Christopher Nkunku, Jude Bellingham, Pablo Gavi, Cristopher Ramsey na wengine wengi. Hii imekuwa kawaida kwa timu kubwa barani Ulaya na bora kama Liverpool kutopoa katika masuala ya usajili haswa katika kipindi kama hiki. Nguvu ya ushawishi tunayo, mafanikio makubwa Ulaya tunayo,…