
MASAU BWIRE:TUPO KWENYE NAFASI MBAYA
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ameweka wazi kwamba wapo kwenye nafasi mbaya katika ligi jambo ambalo haliwaridhishi kuwa hapo walipo kwa sasa. Kwenye msimamo Ruvu Shooting ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 28 baada ya kucheza mechi 26 msimu huu huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imefunga mabao 24. Bwire amesema kuwa…