
HIVI NDIVYO PABLO ATAKAVYOFANYA USAJILI SIMBA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa, kocha wao mpya atatumia ripoti ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco kwa ajili ya kufanya usajili wa msimu ujao. Simba tayari imeanza usajili wa kimyakimya huku wakimsubiria kocha mpya atakayetangazwa hivi karibuni akija kuchukua mikoba ya Pablo aliyetimuliwa Mei, mwaka huu. Timu hiyo ipo katika hatua…