
MUDA WA DHAHABU UMEBAKI UTUMIKE KWA UMAKINI
MUDA uliobaki kwa sasa ni wa dhahabu kwa timu zote ambazo zinajiandaa na msimu ujao wa 2022/23 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kwa sasa siku zinahesabiki hasa kuelekea mwanzo wa msimu ujao ukizingatia kwamba Agosti 13 mchezo wa Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa. Huu mchezo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa ligi na…