
VIDEO:UWANJA MPYA WA YANGA KUCHUKUWA WATU 20,000
MGOMBEA Urais ndani ya Yanga,Injinia Hersi Said amebainisha kwamba atajenga uwanja ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua watu 20,000
MGOMBEA Urais ndani ya Yanga,Injinia Hersi Said amebainisha kwamba atajenga uwanja ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua watu 20,000
KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya kwa msimu wa 2021/22 amekaa langoni kwenye mechi 9 za ligi ambapo aliweza kufungwa kwenye mechi tatu. Tupo naye kwenye mwendo wa data kuangalia kile ambacho alikifanya katika kutimiza majukumu yake namna hii:- Dk 540 za ushujaa Kwenye mechi 6,Kakolanya alikuwa shujaa kwa kuweka lango salama ambapo hakuweza…
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Singida Big Stars iliyo na maskani yake mkoani Singida Hussein Massanza amesema kuwa mchezaji aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Klabu ya Mbeya Kwanza iliyoshuka daraja Habibu Kyombo ameiomba klabu hiyo kuvunja mkataba kutokana na kuwa na malengo makubwa zaidi. Meneja huyo amebainisha kuwa Kyombo alitoa sababu ambazo…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amemuomba msamaha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia kutokana na tukio lililotokea Jijini Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Mara baada ya mchezo huo kuna video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Ofisa huyo wa Yanga akijibizana au…
INJINIA Hersi Said anabainisha masuala ambayo atafanya ikiwa atachaguliwa kuwa Rais wa Yanga uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika Julai 9,2022
SELAMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa msimu wa 2021/22 haukuwa mzuri kwao jambo ambalo liliwafanya waweze kushindwa kutwaa mataji waliyokuwa wanatetea.Kusuhu wachezaji ambao wataondoka katika kikosi hicho ni suala la kusubiri ripoti itakavyokuwa siku ikifika
NYOTA watatu wanawania tuzo ya kiungo bora kwa msimu wa 2021/22 ambazo zinatarajiwa kufanyika Julai 7,2022 baada ya ligi kukamilika. Mabingwa wameshajulikana ambao ni Yanga waliotwaa ubingwa baada ya kufikisha pointi 74 walipocheza mechi 30. Viungo wote watatu kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania ni mali ya Yanga ambapo ni Feisal…
JULAI 3 Viwanja vya Coco Beach ilichezwa Fainali ya Soka la Ufukweni kati ya Ilala FC v Mburahati FC ambapo kila timu iliweza kuonyesha uwezo wake mkubwa. Mwisho ni Mburahati FC walikuwa washindi wa pili baada ya sare ya kufungana mabao 4-4 kisha mshindi ni Ilala FC aliyeshinda penalti 4-3 Mburahati
PAPE Sakho,mzee wa kunyunyiza staili yake ya kushangilia ameweza kuweka rekodi ya kuwa kinara wa pasi ndani ya kikosi cha Simba baada ya kumaliza na pasi za mabao 5. Kiungo huyo raia wa Senegal kwa msimu uliomeguka wa 2021/22 ni mechi 22 alicheza na kuyeyusha dk 1,355 na katupia mabao 6. Kahusika kwenye mabao 10…
UONGOZI wa Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa usajili wa msimu ujao utakuwa ni wa kimkakati kwa kuwa awali walikuwa wanasubiri ligi kuisha. Ruvu ina uhakika wa kucheza ligi msimu ujao wa 2022/23 baada ya kukamilisha ligi ikiwa na pointi 34 baada ya kucheza mechi 30. Masau Bwire,Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa walisitisha mpango…
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza Klabu ya Manchester City imetangaza kukamilisha dili la kumsaini kiungo mkabaji wa Klabu ya Leeds United raia wa Uingereza Kalvin Phillips kwa mkataba wa miaka 6 ambao unatarajiwa kumalizika majira ya joto mwaka 2028. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa kwa kiasi cha paundi milioni 45 ambazo…
BAADA ya kutwaa mataji matatu ndani ya msimu wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu Bara,Kombe la Shirikisho pamoja na ile Ngao ya Jamii, Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa msimu ujao wa 2022/23 bado mambo makubwa yanakuja
BREAKING:RASMI kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ni mali ya Azam FC. Nyota huyo alikuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga na Simba waliokuwa kwenye hesabu za kuwania saini yake. Kwenye Kombe la Shirikisho nyota huyo kasepa na tuzo ya mchezaji bora na mfungaji bora ambapo alifunga jumla ya mabao 9 na pasi…
ULIKUWA ni msimu mzuri kwa kila mmoja na mashabiki wameona hali halisi hasa maana ile ya mpira kuchezwa kwa ushindani na uwazi ndani ya dk 90. Suala la kushuka daraja na bingwa hilo limeweza kuwa miongoni mwa taarifa ambazo zipo mikononi mwa familia ya michezo kwa wakati huu. Champioship imeshatoa timu zake mbili ambazo zitashiriki…
MABINGWA wa Ligi ya Soka la Ufukweni msimu wa 2021/22 ni Ilala FC baada ya ushindi kwa penalti 4-3 dhidi Mburahati FC kwenye mchezo uliochezwa jana, Viwanja vya Coco Beach. Mchezo huo ulifikia hatua ya penalti baada ya timu hizo kufungana mabao 4-4 kwenye msako wa bingwa mpya kwenye ligi hiyo ambayo inadhaminiwa na Global…
KIUNGO wa zamani wa Simba,Bernard Morrison ameweka wazi kuwa ambacho anakipenda na atakikumbuka kutoka kwa viongozi na mashabiki wa Simba ni upendo hivyo anaomba uendelee daima. Kwa sasa kiungo huyo amerejea ndani ya Yanga aliyokuwa akiichezea zamani kabla ya kuwafunga Simba kwenye mchezo wa ligi kisha akasajiliwa ndani ya Simba. Sababu kubwa ambayo imemfanya aweze…
FRED Felix Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold, amebainisha wazi sababu kubwa ya mshambuliaji George Mpole kufunga mabao 17 ni kutimiza majukumu aliyopewa. Mpole ni mzawa aliyeibuka kinara wa mabao Ligi Kuu Bara 2021/22 akimpoteza Fiston Mayele wa Yanga raia wa DR Congo mwenye mabao 16. Akizungumza na Spoti Xtra, Minziro alisema: “Tulikuwa tunahitaji pointi…