YANGA KAMILI KUIKABILI IHEFU
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa YangaYanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ihefu unaotarajiwaunaotarajiwa kuchezwa leo Mei 19 2024 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. YangaYanga ni mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup walitwaa taji hilo kwa ushindi wa bao 1-0 Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga….