FEI TOTO KAZIDISHA KASI HUKO
WAKATI Azam FC inakomba pointi tatu mazima dhidi ya JKT Tanzania mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Meja Isamuhyo mwamba Feisal Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC aligusa mpira mara 39. Katika dakika 90 alizokomba na kushuhudia ubao ukisoma JKT Tanzania 0-2 Azam FC, Mei 21 2024 alipiga mashuti matatu ambayo yalilenga lango…