
KMC YAIPIGA MKWARA SIMBA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa watacheza pira spana, pira kodi dhidi ya Simba kwenye mchezo ujao wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Leo Septemba 7, KMC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery itamenyana na Simba inayonolewa na Seleman Matola ambaye ameachiwa mikoa ya Zoran Maki. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa…