
RATIBA YA LIGI KUU BARA
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Septemba 6 inaendelea kwa mechi mbili kuchezwa katika viwanja tofauti. Geita Gold wao watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Kagera Sugar, mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Geita Gold ipo nafasi ya 13 na pointi moja inakutana na Kagera Sugar iliyo nafasi ya 16 haijakusanya pointi. Kagera Sugar…