
KUMBE! MAKAMBO ALIMUAMBIA AZIZ KI ATAFUNGA
SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa. Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi. “Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo…