
YANGA INAUZA ULAYA,BIG BULLETS YAHOFIA MUZIKI WA SIMBA
YANGA sasa inauza ulaya, Marseille yatua kwa staa Yanga, Big Bullets wahofia muziki wa Simba Dar, ndani ya Championi Ijumaa
YANGA sasa inauza ulaya, Marseille yatua kwa staa Yanga, Big Bullets wahofia muziki wa Simba Dar, ndani ya Championi Ijumaa
HAIKUWA bahati kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kupata ushindi kwenye mechi za kuwania kufuzu CHAN baada ya kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa nyumbani na ugenini. Kwa sasa wachezaji 23 wameitwa kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Libya…
RAHEEM Sterling wa Chelsea alipachika bao la kuongoza dakika ya 48 likawekwa usawa na Noah Okafor dakika ya 75 kwenye mchezo wa UEFA Champions League. Ni mashuti 17 Chelsea walipiga Uwanja wa Stamford Bridge huku RB Salzburg wakipiga mashuti matatu na ni mashutu manne kwa Chelsea yalilenga lango na matatu yalilenga lango kwa RB Salzburg….
SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa. Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi. “Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo…
AWADH Juma, Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa walistahili kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga kwa kuwa Yanga walistahili kushinda baada ya ubao kusoma Yanga 3-0 Mtibwa Sugar
Kuelekea wikiendi, timu nyingi Ulaya leo zina vibarua vya Ligi, tumekuwekea hapa baadhi ya gemu zinazokupa mkwanja poa kwa ajili ya wikiendi yako. Sherrif akiwa anaongoza Kundi E la Ligi ya Europa atakuwa anasaka kumkosesha zaidi usingizi Man United. United atawekeza jithada zake kuepuka aibu baada ya kupoteza gemu iliyopita. Meridianbet wameipa uzito gemu…
JONAS Mkude, kiungo wa Simba amesema uwa haikuwa kazi rahisi kushinda mbele ya Tanzania Prisons kutokana na ugumu wa timu hiyo. Mkude alipachika bao la ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine, dakika ya 85 kwa pasi ya Kibu Dennis. “Kucheza na Tanzania Prisons kunahitaji kujipanga na timu ambayo itapata nafasi inaweza kushinda hivyo tulifanya…
FEDHA inaongea, Yanga wanaishi kishua, Mgunda apewa siku 180 ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
JONAS Mkude, kiungo wa kazi ndani ya Simba amepachika bao pekee la ushindi mbele ya Tanzania Prisons dakika ya 85 na kuipa pointi tatu muhimu. Ulikuwa ni mchezo huru kwa timu zote mbili ndani ya dakika 90 kwa kila timu kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza katika kusaka ushindi. Dakika 45 zilikuwa ngumu kwa timu zote mbili…
HAIJAWAHI kutokea ishu ya uwanja wa Yanga Injinia Hersi ambaye ni Rais ana mpango mkubwa
NDANI ya Yanga ni Fiston Mayele anaongoza kwa kutupia mabao akiwa nayo matatu, aliwatungua Polisi Tanzania, Coastal Union na Mtibwa Sugar. Msimu uliopita Mayele alitupia mabao 16 na pasi nne za mabao kinara alikuwa ni George Mpole wa Geita Gold alitupia mabao 17. Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kila mchezaji anahitaji kufanya…
UWANJA wa Sokoine dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kukamilisha bila kupata bao la uongoza. Ubao unasoma Tanzania Prisons 0-0 Simba huku kila timu zikitengeneza mashambulizi kwa kushtukiza. Ni Ezekiel Mwashilindi ni mwiba kwa Simba kutokana na kutibua mipango huku beki Henock Inonga akiwa na kazi ya kuongoza safu ya ulinzi akishirikiana na Kenned Juma….
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda leo kinakazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons ambao nao wanazitaka pia. Hiki hapa kikosi cha kwanza kinachotarajiwa kuanza, Uwanja wa Sokoine:- Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Kennedy Juma Henock Inonga Jonas Mkude Clatous Chama Mzamiru Yassin Habib Kyombo Moses Phiri Pape Sakho…
SEPTEMBA 17,2022 Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC, Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo kuwaona mastaa wa Yanga ikiwa ni pamoja na Farid Musa, Fiston Mayele, Feisal Salum ni buku mbili tu, (2,000). Kwa upande wa VIP A…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju. Makala ameruhusu uongozi wa Klabu ya Simba kuendelea na mradi wa ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo hilo ukiwa ni mpango kazi wa ujenzi wa viwanja vya michezo. Aidha kiongozi huyo amewaagiza watu waliovamia eneo hilo kuhama ndani…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mipango yao kwa ajili ya mechi zijazo ni imara na pongezi kwa wachezaji kufanikiwa kupata pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar
FAROUKH Shikalo, kipa namba moja wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa kuna kazi ya kufanya ili kupata matokeo kwenye mechi zao ambazo watakuwa wanacheza