
MERIDIANBET WAWAFIKIA WAFANYA BIASHARA ZAIDI YA 300 DAR ES SALAAM!
Oktoba 14 siku ya kumbukizi ya Kifo cha aliyekuwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Kampuni ya Meridianbet wameweza kutoa Aprons zaidi ya 300 kwa wafanyabiashara hasa baba lishe na mama lishe katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar- es salaam ikiwemo maeneo ya Makumbusho, Magomeni pamoja na eneno la Muhimbili. Kama ilivyo kawaida ya…