
MISHENI INAWEZEKANA, SIMBA YAMPA TIMU MGUNDA
MISHENI inawezekana, Simba rasmi yampa timu Mgunda ndani ya Championi Ijumaa
MISHENI inawezekana, Simba rasmi yampa timu Mgunda ndani ya Championi Ijumaa
Shughuli itaanzia Ijumaa kwenye epl ni Brentford watakipiga dhidi ya Brighton kwenye raundi ya 11, huku kwenye Ligue 1 raundi ya 11 itawakutanisha Strasbourg watakichafua na Lile halafu sasa Laliga mchezo wa raundi ya 9 itawakutanisha Vallecano dhidi ya Getafe. Meridianbet wamejipanga kumwaga mpunga kwako, tandika jamvi lako. Epl itakuwa na michezo 4 kwa…
Ndani ya siku ya 1 tu ya maonyesho ya siku kubwa ya michezo, Expance Studio, moja ya waendelezaji wakubwa kabisa wa michezo ya kasino, wamezindua sloti tatu mpya – Pirate’s Power, Magic Wheel na Fortune Farm!. Ni wakati wa kugundua uzuri wa Bahari ya Caribbean. Katika Nguvu ya Maharamia, unaweza kujishindia hadi x5000 ya dau…
BAADA ya kupoteza ugenini kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Akhadar ya Libya, Azam FC hesabu zao ni kupata matokeo nyumbani.Wakiwa ugenini walikubali kipigo cha mabao 3-0 jambo ambalo linawafanya wawe na kibarua cha kusaka ushindi wa zaidi ya mabao matatu bila kufungwa wakiwa Azam Complex. Kocha Mkuu wa Azam FC, Denis Lavagne ameweka…
UMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa mafanikio ambayo yanapatikana ndani ya timu hiyo ni kutokana na benchi la ufundi makini pamoja na ushirikiano kutoka kwa viongozi na mashabiki. Mgunda amekuwa na mwendo mzuri ndani ya Simba baada ya kupewa kibarua cha kuinoa timu hiyo ambapo mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya…
MO awafanyia kufuru Phiri, Chama, Yanga SC yafyatua mitego Sudan ndani ya Spoti Xtra, Alhamisi.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa una mpango wa kubadili mfumo wa ushangiliaji kimataifa watakapotinga hatua ya makundi, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa kila timu ambayo itafungwa na Simba itaitwa dhaifu kwani waliwafunga Al Ahly, Uwanja wa Mkapa watu wakasema pia huku akibainisha namna ambavyo walipata tabu kipindi cha pili.
VIUNGO wa Yanga ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Feisal Salum, Bernard Morrison, Khalid Aucho wamepewa kazi maalumu kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa nchini Sudan, Jumapili, Oktoba 16,2022 saa 2:00 usiku baada ya ule uliochezwa Uwanja wa Mkapa,ubao usoma Yanga 1-1 Al Hilal. Nasreddine…
TIMU ya taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17 leo Oktoba 12,2022 imepoteza mchezo wa kwanza kwenye Kombe la Dunia dhidi ya Japan. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru umesoma Japan 4-0 Tanzania. Shiragaki alifunga bao la ufunguzi kipindi cha kwanza na kufanya dakika 45 kukamilika Japan…
HUYU hapa shabiki wa Simba akizungumzia umuhimu wa mechi yao dhidi ya Al Hilal huku akimzungumzia Aziz KI wa Yanga pamoja na makosa ya Simba kwenye mchezo dhidi ya Jwaneng Galax
AHMED Ally, Meneja Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanajipanga kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Uwanja wa Mkapa ambapo tayari wachezaji wameanza mazoezi
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Uhuru kusoma KMC 0-0 Ruvu Shooting, Oktoba 7,2022 hesabu za wazee wa pira kodi ni kuelekea mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala ameweka wazi kuwa maandalizi yanakwenda sawa na wachezaji wana morali kubwa kuelekea mchezo huo. Christina amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema mashabiki watakaojitokeza Uwanja wa Mkapa watakutana na bendera za rangi nyekundu na nyeupe ili kuongeza nguvu kwenye kushangilia kwa kuzipunga juu kama walivyofanya Simba Day. Aidha ameongeza kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto, Oktoba 16,2022 Uwanja wa…
MPANGO unaanza kusukwa upya kwa ajili ya Yanga kuikabili Al Hilal ugenini mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, Nasreddine Nabi amesisitiza umakini kwa wachezaji wake kwenye kutumia mapigo huru ikiwa ni kwa kiungo Bernard Morrison na Aziz KI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kimekuwa na moto kwenye safu ya ushambuliaji huku ukuta wao ukiwa haujaruhusu mabao mengi kwenye mechi za ushindani. Simba ikiwa imecheza jumla ya mechi 8 za mashindano, ligi mechi tano na Ligi ya Mabingwa Afrika mechi tatu imetupia jumla ya mabao 18 huku safu ya ulinzi…
MPAGO mpya unasukwa na Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Hilal unaotarajiwa kuchezwa ugenini wikendi hii. Ni kwenye mapigo ya mipira iliyokufa ambayo wamekuwa wakiipata kwa kuwataka wapigaji kutulia huku wao wakipunguza makosa wakiwa karibu na eneo lao la hatari. Bernard Morrison na Aziz KI wamekuwa wakipewa majukumu…
SIMBA ugenini dhidi ya de Agosto ilipata ushindi wa mabao 3-1 ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda, zijue siri tatu za ushindi Angola