KIMTINDO Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ametupa dongo kwa watani zao wa jadi akibainisha kuwa mud mrefu hawajatinga hatua ya makundi na wameshatolewa, pia amesema wale waliokuwa wanabeza kuhusu usajili waliofnya hawajui mpira kwani wao waliwaacha waongee na muda sasa unazungumza
Soccer Football - International Friendly - Italy v Turkey - Stadio Renato Dall'Ara, Bologna, Italy - June 4, 2024 Turkey's Abdulkadir Omur shakes hands with Italy's Riccardo Calafiori after the match REUTERS/Daniele Mascolo