
SIMBA NDANI YA DAR, HESABU KWA AL MASRY ZIPO NAMNA HII
MSAFARA wa Simba uliokuwa nchini Misri mapema Aprili 4 2025 umewasili katika ardhi ya Tanzania baada ya kumaliza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ikiw ni robo fainali ya kwanza. Aprili 2 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Suez Canal ulisoma Al Masry 2-0 Simba hivyo kibarua kipo kwa wachezaji wa Simba…