
YANGA KUIKABILI COASTAL UNION KWA TAHADHARI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amebainisha kuwa mchezo wao dhidi ya Coastal Union hautakuwa mwepesi lakini wamefanya maandalizi mazuri ili kupata pointi tatu muhimu baada ya dakika 90 za mchezo. Ni Aprili 7 2025 Yanga wanatarajiwa kumenyana na Coastal Union ya Tanga, saa 10:00 Uwanja wa KMC, Complex ikiwa ni mzunguko wa pili baada…