
YANGA YATUMA UJUMBE HUU TABORA UNITED
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa unazitaka pointi tatu za Tabora United kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi hivyo wataingia kwa tahadhari kuwakabili wapinzani wao. Novemba 7 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 1-3 Tabora United, pointi tatu ziliyeyuka mazima kwa mabingwa watetezi wa…