
WANAWAKE WA MAGOMENI WAPEWA MSAADA NA MERIDIANBET
Siku ya leo Meridianbet iliamua kufunga safari na kuwatembelea wanawake wajane wanaopatikana mtaa wa Magomeni na kutoa msaada wa vyakula. Jumamosi ya leo katika jitihada za kusaidia jamii na kuunga mkono familia ambazo zimeondokewa na wapendwa wao hasa wanawake wajane, Meridianbet iliamua kufunga safari hadi Magomeni kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wanawake hao….