
KISA WAARABU..KIGOGO AINGILIA KATI YANGA,MGUNDA KUITOA YANGA KILELENI
KISA Waarabu,,,, Kigogo aingilia kati Yanga, Mgunda asuka mpango kuitoa Yanga kileleni ndani ya Championi Ijumaa.
KISA Waarabu,,,, Kigogo aingilia kati Yanga, Mgunda asuka mpango kuitoa Yanga kileleni ndani ya Championi Ijumaa.
MZAWA Mzamiru Yassin amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Oktoba. Ni kupitia tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Oktoba. Nyota huyo amewashinda wenzake ambao waliingia nao fainali ya kuwania tuzo hiyo ikiwa ni Joash Onyango na Augustine Okrah. Kiungo huyo ni chaguo la kwanza la…
TAZAMA ambacho wamefanya mashabiki wa Simba kwenye basi la wapinzani wa Yanga, Club Africain Waarabu wa Tunisia Uwanja wa Mkapa
SHABIKI wa Simba maarufu kama Mzaramo ameweka wazi kuwa kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Club Africain uliochezwa Uwanja wa Mkapa ameona mauzauza kwa kuwa jamaa walikuwa wanazuia tu na kwa ishara hiyo wakienda ugenini watapoteza
MASHABIKI wa Yanga wamemuomba Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi aondoke kwa kile wanachoeleza kuwa anashida kwenye mechi za kimataifa huku wakihoji kwa nini wengine waweze huku wao wakishindwa
BAADA ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-0 Club Africain, shabiki wa Yanga amepatwa igugumizi huku akisema kuwa ndo basi tena
KOCHA Mkuu wa Simba Juma Mgunda, amesema amembadilishia majukumu ya uchezaji kiungo wa timu hiyo, Augustine Okrah raia wa Ghana kutoka namba kumi nakumpeleka winga moja kwa moja ambapo anafanya vizuri. Mghana huyo ni kati ya wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba msimu huu kwa ajili ya kukiongezea nguvu kikosi hicho. Kiungo huyo katika michezo mitatu…
BOSI Yanga ampa ujanja Nabi, Mgunda aitaka rekodi Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
MCHEZO wa mtoano Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Uwanja wa Mkapa, Yanga imekubali ubao kusoma 0-0 Club Africain na kufanya ngoma kuwa ngumu ikiwa nyumbani. Ulikuwa ni mchezo wazi kwa timu zote mbili ambazo zilikuwa kwenye msako wa ushindi kupiga hatua moja kuelekea kwenye hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho. Kete ya kwanza ya…
BADO hajawa tegemeo ndani ya kikosi cha Simba msimu huu kwenye safu ya ushambuliaji ambapo kwenye mabao 17 yaliyofungwa na timu hiyo katoa pasi moja ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine alimpa mshikaji wake Jonas Mkude. Mchezo huo ulikuwa ni wa kwanza wa Kocha Mkuu Juma Mgunda kuongeza kwenye ligi baada ya kupewa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wote wamekubaliana kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano ili kufika mbali kimataifa. Yanga leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Club Africains mchezo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wachezaji wote wana morali kubwa kuelekea mechi…
HATURUDII makosa, Hassan Dilunga afichua siri ya kambi Simba, ndani ya Championi Jumatano
Kila mmoja ni Bingwa kwenye uwanja wake! Meridianbet walitoa nafasi ya kutamba ukibashiri kwa USSD bila kutumia Intaneti, ukibeti na kitochi au Simu janja, na ndivyo walivyofanya ndugu Godson Alex wa Chalinze-Ubena Nzomonzi na Denice wa Shinyanga Mjini. Ile promosheni iliyokuwa ikifanyika pale nyumba ya Mabingwa wa kubashiri Tanzania na Afrika Mashariki, Meridianbet hatimaye jana…
AHMED Abdallah mchambuzi wa masuala ya michezo ametoboa suala la Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi kuondoka
WAPINZANI wa Yanga, Club Africain kesho wanatarajia kumenyana na Yanga mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, haya hapa mazoezi yao ya mwisho namna hii
SALUM Mayanga, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ubora wa Simba umejificha kwenye safu ya viungo jambo linalowafanya wacheze kwa kujiamini kila wanapokuwa na mpira. Juzi, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa huku nyota wawili wa Mtibwa Sugar wakionyeshwa kadi nyekundu. Mayanga amesema…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema waliomba kupewa muda wa kufanya maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao Club Africain lakini hawakujibiwa hivyo kwa sasa wanajaandaa kwa muda ambao upo na mechi zikiwa zimepangana