LEO KITAWAKA MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO, PIGA PESA HAPA
Wakubwa wote leo wako dimbani na wamejiandaa kukutajirisha kazi ipo kwako wewe mteja wa meridianbet kusuka jamvi na kubeti mechi zako za ushindi. Usisubiri kupitwa na maokoto hapa. Simba wa Atlasi, Morocco ambao walifanya vizuri kombe la Dunia 2022, lakini wakafeli Afcon wao watakuwa na kibarua dhidi ya Zambia ambao wapo nafasi ya pili. Simba…