
UCHAGUZI WA SIMBA JANUARI 2023
NOVEMBA 26,2022 Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Simba, Boniface Lyamwike ametangaza rasmi siku ya uchaguzi mkuu wa Simba kwenye nfasi mbalimbali. Lyamwike amesema:-“Nawatangazia wanachama wa Simba, wapenzi na mashabiki kwamba tarehe ya uchaguzi wa Simba itakuwa ni tarehe 29 Januari, 2023. “Mwaka huu kanuni ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa Simba ni kanuni za Simba Sports…